Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.
Purchasable with gift card
$1USD or more
lyrics
Downtown, mdomo ina maketepa
Kuna Congo inflow, inaletanga nostalgia
Hapa ndio bongo ya Nai
Biz commercial, ni ya mangirima wamekomaa sio?
Mchana marathon
Juu za mbio macity hawker kanjo
Mathree mboka, rush hour, mitaani wanarudi after hustle
Pande nyingine, chunga sana usiperembwe jasho
Ni scent za chupa za jana
Au kukafunga za jioni, landi mawe macho zinapenyeza
Usiku zile bulbs funny, blue magenta
Mahunnies wanahook bait, chunga mchele usijeukabebwa
Ukichafuliwa pia kuna mashini za kuosha nyota
Kuna dawa za kugeuza mende shilingi pesa
Inatafutwa magedhaa
Ukichanja sana, ficha white
Usipopata, zidi Ngara wauza chuma kali Karikoko kwa grind