Includes high-quality download in MP3, FLAC and more. Paying supporters also get unlimited streaming via the free Bandcamp app.
Purchasable with gift card
name your price
lyrics
Swahili Spoken
Ingawa nafsi ndio zawadi ya dhati ulinipa
Fikira:
Naukuza undani, panapo pepo mema na vita
Sawia, mtego wa upendo baado inezajuzwa tena
Kuhusu,
Hadithi ya mama, we ulikuwa,
Mimi? Ua nzuri,
Ile uchungu wa ulimwengu haungefaulu dhidi yake maudhi
Ni yako hii: santuri
Ndio ukiskiza iwe ikulete zawadi ulionipa ya pendo, Mercy