We’ve updated our Terms of Use to reflect our new entity name and address. You can review the changes here.
We’ve updated our Terms of Use. You can review the changes here.

lofi luv

from apophenia: beats & theory by wudz

/
  • Streaming + Download

    Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.
    Purchasable with gift card

      $1 USD  or more

     

lyrics

Hivi unajua, kinachokusukuma ni kipi?
Nini, haswa ni thamani ya kujiinua kila siku?
Ikiwa unajua kwamba kwa hakika
Haujulikani vipi, ikifika yako siku hutowezakuikwepa?
Na je, umewahi
jifikiria
Kwamba, kuna yule au wale ambao uhakiki wao wanaamkia na kuyaishi kila siku? Ningejadili kuhusu muamko ambao hofu huleta, yale maono ambayo "kuishi ukihofia leo hii, hata saa hii mwili huu unaezidishwa maisha" huleta.
Kwamba, ndio kila mmoja ana jinsi ametengewa kisichowezabadilika?
Kwa mfano, ukijua leo hii, wapi, namna, muda na saa utakapomalizika safari
Ungeishi toka hii leo ukijaribu kadri hatma yako isifanane na ujio uliofikiriwa wewe
Ungeshinda kama pepeo au nyuki anavyonaswa na ulimbo wa asali
Kuyeyuka na ule mapendo ya anayotaka yeye kunusa na kujifariji nayo
Kinachomskuma ndio kile kimtiacho hofu
House. Hofu na ubinadamu. Pasipo vitengo na mabango na jinsia au vile vijisanduku vinayotumiwa kutawanya umoja uleteeavyo na (u)pendo. Hivyo vitengo ni zana za kujitunza binafsi, lakini haswa kinachofanya mtu ajifikirie ni kuhofia kwake ya kuishi na upweke, na mwili uliochokezwa na hila na magonjwa, na nafsi iliyopunjwa kama mchanga nyevu unavyotiwa moto na kufanywa matofali - ile haina nafsi wala maisha yoyote.
Uwajibu wa upendo wa mtu binafsi na kwa mwingine ni kueneza daraja isiozidishwa na ulemavu wa aina yoyote. Kila mtu ana malemavu yake, upendo ndio lugha inayofariji mtu kujikubali kisha awakubali wengine.

- Omondi Ochuka

credits

from apophenia: beats & theory, released December 30, 2017

license

all rights reserved

tags

about

wudz Nairobi, Kenya

poet I psychonaut I beatgod

contact / help

Contact wudz

Streaming and
Download help

Report this track or account

wudz recommends:

If you like wudz, you may also like: