Includes high-quality download in MP3, FLAC and more. Paying supporters also get unlimited streaming via the free Bandcamp app.
Purchasable with gift card
name your price
lyrics
Tweak the beat a little,
Wewe
Hadithi
Hadithi
Msalaba wako huu, usichukue uzani unaokuzidi
Kama chanda kubebea sifa pete ndio kuapa kuishi
Kwaya hii haihusiani
na sauti za bei ghali
Me hata sijaishi huko Arusha
Sura ni ya Gomora sio Dodoma ambako Kaka Sungura alibebea mzigo Betty
Funny, uh?
Mahn,
Saa ile old man akipuliza santuri ya Jumapili
Hii rekodi, inarudisha nyuma hio wakati
Na labda ukishindwa kubeba
Pea jina mziki
Huana habari zile sadness si hificha kwa hizi mistari
Na pia faraja
Na kumbukumbu za kuondokewa tu ghafla
Ukabaki uko like sixteen
Au twenty three
Na badala ya lip gloss, ni limau unachovya ndio uifeel, nostalgia ikigodown
Unaniafeel?